JIANDIKISHE KAMA UNATAKA KUPATA PASI MPYA YA KITANZANIA

JIANDIKISHE KAMA UNATAKA KUPATA PASI MPYA YA KITANZANIA

JIANDIKISHE KAMA UNATAKA KUPATA PASI MPYA YA KITANZANIA

101_001101_001101_001

Tunapenda kuwatangazia kwamba, kama unatatizo na pasi yako na ungependa suala lako lipatiwe ufumbuzi ( kubadilisha pasi). Tungependa mjiandikishe majina yenu na namba za simu, kwani tupo katika mchakato wa kuorodhesha majina ya watu wenye shida na pasi zao ili iwe rahisi kwa ubalozi kuwafikia walengwa.

NINI CHA KUFANYA:

  1. Tuma majina yako
  2. Tuma namba ya simu
  3. Sehemu unapo ishi
  4. Wasiliana na viongozi wa Tanden ( Mwenyekiti au Katibu) kwa kupitia barua pepe mwenyekiti@watanzania.dk au katibu@watanzania.dk

Ikishafika idadi ya watu wanaotakiwa Tanden itawasiliana na ubalozi Sweden kwaajili ya kuandaa zoezi zima la kushughulikia pasi.

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close