MKUTANO MKUU WA MWAKA

MKUTANO MKUU WA MWAKA

MKUTANO MKUU WA MWAKA

English version below:

UNAO UWEZO WA KUBADILISHA MUELEKEO WA TANDEN MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA:

Ukiwa kama mwanachama wa Tanden, ama rafiki,ndugu,jamaa au unaipenda Tanden kutokana na mapenzi na nchi ya Tanzania.

Usikose nafasi hii ya pekee ambayo hutoke mara moja kwa mwaka. Mkutano mkuu wa Tanden, Mkutano utafanyika Jumamosi  24-02-2018, Vanløse kulturstationen , Frode Jakobsens Plads 4,1 2720,muda saa sita za mchana(12hrs).

Kuna kitu unataka kibadilike kwenye sherehe za Tanden? Je unataka muziki wa aina gani uwe unachezwa kwenye sherehe za Tanden? Je unataka Tanden ifanye miradi ya aina gani kusaidia Tanzania na waTanzania waishio hapa?Je unataka vyakula vya aina gani viwe vinapikwa kwenye sherehe za Tanden? Je Unataka kuwa kiongozi ndani ya Tanden? Je unataka kuisaidia Tanden kimawazo,kifedha ama kitu chochote? Je unataka Tanden ifanyaje ili iweze kupata wanachama wapya?

Nafasi hii,uwezo huu ni wako yote haya yawezekana katika mkutano mkuu wa Tanden.

Toa maoni yako kwa kupitia katibu@watanzania.dk au toa maoni yako hapo chini au njoo kwenye mkutano mkuu wa Tanden utafanyika,jumamosi 24-02-2018, Vanløse kulturstationen , Frode Jakobsens Plads 4,1 2720.,muda saa sita za mchana(12hrs). Tanden itagharamia chakula na vinywaji kwa watakao hudhuria kikao.

25659320_2194180457266300_1584628176856941746_n26804799_2234318183252527_6021426630421263993_n

English version:

YOU STILL HAVE A CHANCE TO MAKE DIFFERENCE ON HOW TANDEN IS FUNCTIONING

As members of Tanden or just curious to know about Tanden, you like Tanzania or you're just interested in Tanden but you don’t know how to get involved.

On the 24-02-2018 at Vanløse kulturstationen , Frode Jakobsens Plads 4,1 2720. at 12hrs Tanden is going to hold a general meeting, and you will have an equal say or vote during this day.

Is there something you would like to see happening in Tanden? What kind of music would you like to be played during Tanden’s event? What kind of projects would you like to see Tanden get involves with here in Denmark or Tanzania? What kind of food would you like to eat at Tanden’s event? Would you like to be in the leadership of Tanden? How would you help Tanden get new members? How would you like to support Tanden?

You can post your views, thought, questions and thanks through katibu@watanzania.dk or that by just commenting on the post. Tanden would like you to attend the meeting.

**Tanden would provide food and drinks during the meeting**.

 

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close