Welcome to TANDEN information portal. Tuesday, 9th Feb,2010
Username: Password:
Advertise with us, write to webmaster@watanzania.dk
Upcoming holidays
02 Apr - Good Friday
01 Apr - Maunday Thursday
05 Apr - Easter Monday
Africa Commission Report: Realising the potential of Africa's youth ■■ Invest in Tanzania■■ Welcome to Tanzania, the land of Kilimanjaro,Zanzibar and Serengeti
27-year-old mother of two chopped to death with machete by her Tanzanian husband
Bookmark and Share

Source : Watanzania.dk
Posted by: Webmaster on 30-Oct-2009

Anne Holmstrøm, 27 mother of two girls, one and three years old, was slain with a 40 inch long machete by her husband, 35. The husband who comes from Tanzania and Anne met in 2002 during a trip to the country.

The suspect is now in police custody. In his statement to the police, the suspect has claimed that he cannot remember anything, but on a phone call to a friend three hours before his arrest, he confessed to killing Anne with the machete, that they received as a wedding present.

According to bt.dk, Anne Holmstrøm had left her husband because he cheated on her during a vacation in Tanzania last summer. He had also threatened many times to beat both her and her children to death.

Deputy Police Superintendent Henning Svendsen told bt.dk that the police knew about the threats, but Anne did not want him arrested or given a restraining order because she did not believe that he would get serious about the threats.

Anne had moved to her parents’ house but on the weekend of murder had gone back the apartment she shared with her husband. The couple's two children who are being taken care of by Anne’s parents were in kindergarten at the time of the slaying.

The murder was very brutal. The entire kitchen floor in the 61 square-meter apartment in Skovlyporten was covered with blood including all the walls. The bloody machete was found on the kitchen table in the apartment in Holte together with a bloody serrated kitchen knife when the body was found.

Anne Holmstrøm had apparently just entered the apartment when she was killed. She was still dressed in raingear, as the murderer, according to forensic experts, struck her at least 10 times in the face and scalp with the machete.

At around 15:15pm Monday neighbors heard a scream from the apartment and later in the day both a neighbor and the police were phoned by friends in Sweden who were worried about her. The husband had apparently called friends in Sweden and informed them that he had "done something foolish".

Later a neighbor went to the apartment and found Anne’s body. The police were already on the way to the apartment and arrived a few minutes later. The accused was gone by the time the police arrived. After an intensive search, the husband was arrested at Tagensvej in Copenhagen. At the time of his arrest, he was armed with a large butcher knife, but he did not resist arrest.

Comments
On 30th Oct,2009 c3 wrote
Anatuchafulia jina na sifa yetu ya Amani na utulivu. Apimwe akili kama ipo sawasawa.
On 30th Oct,2009 jina magoma moto wrote
Comment hidden due to reported abuse
On 30th Oct,2009 magoma wrote
Ina sikitisha mnogela msukuma mpigagoma wa bujola yani mwaza tanzania kitendo alicho kifanya kina sikitisha sana tena sana kumchinja mkewake huho ni ufisadi tena sana sana
On 30th Oct,2009 huruma wrote
Hawa ndugu zetu nao wamezidisha kuendekeza pombe na bangi kwakweli wakati muungine wanatia aibu sana, wengi wao wanaishi maisha duni sana na wanaoneka wamechoka na wadhaifu kila uwaonapo. ni kitendo kibaya sana na cha kusikitisha, Pole sabina na watoto wako hii ni aibu kubwa sana imewapata.
On 30th Oct,2009 mtz wrote
Comment hidden due to reported abuse
On 30th Oct,2009 MAGGIE wrote
KWA KWLI MAELNZO HAYA YANATUARIBIYA JINA LA WATANZANI WA DK.KAMA ITAWENZAKANA KUWASAINDIYA WATANZANI WALIYOFUNGA DOWA NA WANDENISH ... KUSAINDIWA WASIHARIBU JINALETU HAPA DK. KWA KWELI WATU WOTE WATANZANI MLIKUWA NA SIFA NZURI SANA HAPA DK. SASA HII ILIYOTOKEYA YAKUUWA NIYO INATUARIBU SANA.JAMANI TUWE NA MASILIYANO KUWENZA KUWEKA JINA LETU SAFI JAMANI...
On 30th Oct,2009 Simon Kitururu wrote
Inasikitisha
On 30th Oct,2009 Nunu wrote
Washenzi awa wasukuma na mangoma yao, wanaitaji kupelekwa shule ingawa ya lugha ili waelimike angalau, waliko uko wao na pombe bangi hakuna wanachokifanya ni kwenda tz kila mwaka na kuleta magonjwa tu. ni kweli wanahitaji kusaidiwa na watanzania.dk mwenyekiti na katibu hii ni kazi kwenu ilo dalasa la kiswahili mnalotaka kufungu muwakumbuka na hawa wasukuma wenzetu maana hawajuwi ata maana ya kondom.
On 31st Oct,2009 INKOSIKAZI wrote
Mungu amrehemu aliyekufa na amsameh na kumuongowa aliyefanya makosa, ni mtihani unoweza kumkuta yeyote na popote hasa wakati wa kukosekana utulivu wa kimaisha.Ni kosa kubwa mwenzetu kafanya lakini tafadhalini tuangalie pande zote zote hasa za kimazingira,kimaisha kwa jumla na mengine nisiyoweza kuyataja kabla ya kukimbilia kuwashambulia na kuwatukana ndugu zetu wa Kisukuma kwa pamoja, tukumbuke anatajwa kama mtanzania hatajwi kama msukuma au leo msukuma amekuwa si mwenzetu tena?? inamaana ni wenzetu wakiwa wanatuburudisha na kufurahi na sisi tu.Je ungekuwa wewe kwenye mtihani ama msukosuko alioupata yeye ungefanya nini.Huu ndio wakati wa kuuonesha huo undugu na umoja tunouhubiri ili lipatikane hilo lengo la TANDEN. Natupeane pole WABONGO sote na tuwape mkono wa buriani wafiwa na tusimtenge mwenzetu bali tuwetayari kumsameh yeye na iwe ni funzo kwa mimi na wewe "NOMBE". NGWANKALUKA BABA. MLIHMOLAH. WAMISHAGA KINEH??
On 31st Oct,2009 Malaika wrote
Ukabila ni dalili ya ukosefu wa maendeleo jamani, nyie ambao sio Wasukumuma na mnajiona bora zaidi. Hiki ni kitendo cha kusikitisha sana, sio wakati wakupeana majina au lawama. Nani anajua kwa hakika ni kitu gani kinatokea katika ndoa ya mtu yeyote? La kusikitisha zaidi na zaidi ni hao watoto wao. What a pity!
On 31st Oct,2009 jina kipanya wrote
Tanzania mwanza ndio sehemu kubwa kwa kumaliza alibino sasa rohona damuzao zinafanya wasukuma kumaliza wazungu hahaha.mungu amlaze pema marehemu gawiza mayo mayo baba wa taifa alisema ukiiba mali ya umma una chapwa viboko ukiigia na ukitoka viboko tena na ukiuwa na weweunaenda mbona mtoto wa kinge hajakwenda
On 31st Oct,2009 NOMBE". NGWANKALUKA wrote
Comment hidden due to reported abuse
On 31st Oct,2009 Nik wrote
Jamani mimi sielewi kwanini tunaanza kupigana mawe na kusemana kuhusu mabira kwani tukio kama hili sio mara kwanza kutokea hapa Denmark au duniani kote kwa ujumla na hata kuchoza ngoma siyo tatizo.Kitu kichobakia ni kwamba tushikane mkono na familia ya huyu binti/mama pia tuwasaidia watoto wake katika kipindi hiki kigumu.
On 31st Oct,2009 jada wrote
Leo kwa mwenzako kesho kwako.hakuna haja ya kusema maneno machafu .hujui kesho wewe ukiamka utafanya nini binadamu hatuja kamilika je na wewe ukifanya watu wakuchambue? mbona hatuna umoja?.limeshatokea na wote ni watanzania hata useme nini bado wewe utakua mtanzania tu. iliobaki ni kukaa chini kumuombe mungu amsamehe na amrehemu aliye tangulia. kwani unaweza sema wewe sio msukuma sawa but hata kama ukiwa mfaransa bado hujakamilika.UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UZAIFU.umoja wetu ndio nguzo yetu .tupunguze maneno watanzania wenzangu
On 31st Oct,2009 Nuru wrote
Eti saizi ndio mnajidai kumtetea, wakati alipokuwa na matatizo nyinyi wenyewe wasumuma mlikuwa mnamteta kumsema vibaya sana Mnegela wa watu, mala kamuambukiza mkewe, gono, mala ukimwi ndiomaana ameachwa milikuwa mnazifurahia na kuzinyea pombe hizi habari kwa raha kubwa, na wengi wenu mlikuwa mnashangilia kuludishwa kwake tanzania, mnakaa kunywa naye mwenzenu anawaeleza matatizo yake nyinyi mlikuwa mnashindwa kumpa ushari wa maana kwa sababu na nyinyi wenyewe akili zenu zimejaa pombo tupu, mnamcheka tu na kumjoki, eti leo amepata matatizo mnadai kumtetea na kujifanya nyinyi ni watu wazuri wakati nyie ndio mliomdanganya mwenzenu. mala nyingi alijalibu kuacha pombe ili hasipoteze ndo yake, na nyinyi mlikuwa mnamkaribisha na kumpa pombe na maneno mengi ya kumfanya asimjali mke wake. Naye alikuwa mjinga tu kushilikiana nanyi kwani mikuwa mnamuonea wivu juu ya mke wake kwani ni yeye pekee alikuwa amepata mwanamke mzuri na kijana kuwashinda nyinyi mnaokaa na bibi zenu vijanamke vyenu vizee ata kama sio vizee sula zao utafikili imechogwa chongwa tu. Mnegela halikuwa hajasom alikuwa hajuwi kama nyinyi mnamuonea wifi na mnapenda ndoa yake ivunjike, nyinyi hamkuwa malafiki wazuri wa mnogela kabisa. sasa acheni huu ujinga wenu wa kujifanya apa hamna lolote mkikaa uko mnamsema vibaya kama kawaida yenu ya kusemana wenyewe kwa wenyewe vibaya.
On 1st Nov,2009 Edwin Ndaki wrote
Poleni na msiba.Na hongera kwa kuwa na mtandao wenu watanzania wa DK. Crime doesn't pay...by Lucky Dube
On 1st Nov,2009 Neville Meena wrote
Poleni sana jamani. Uhalifu ni uhalifu tu hauna kabila, rangi wala dini. Hivyo huyo jamaa aliyeua hakufanya hivyo kwa sababu ya kabila lake balikutokana na kile ambacho sisi wote naamini hatukijui. Lakini jambo moja hatujafahamu, naomba sana kama tunaweza kupata jina lake. Anaitwa nani huyo Mtanzania mwenzetu ambaye kafanya uhalifu huo?
On 1st Nov,2009 Masangu Matondo Nzuz wrote
Mimi ni Msukuma na nimeshangazwa na chuki na ukabila unaoonyeshwa hapa. Je, huyu aliyeua angekuwa Mchaga, Mhaya, Mnyakyusa, Mkurya, Mpemba au kabila jingine pia tungelishambulia kabila lake namna hii? Au watu wa makabila mengine hawaui? Kabila lina uhusiano gani na mtu kuua? Sikujua kama Tanzania tuna ukabila namna hii kwani Mwalimu Nyerere alijitahidi sana kutufanya sote tujione Watanzania. Haya ni mambo ya kusikitisha hasa katika mustakabali mzima wa nchi yetu. Kwa mtazamo huu nashangaa kuona kwamba suala la dini la huyu muuaji halijatajwa kwani udini nao unafukuta upo chini chini. Watanzania sasa tunachukiana na kubaguana kwa ukabila na udini. Tunaelekea wapi? Soma makala yangu ya ATI ZE UTAMU IMETUFUNDISHA NINI ambapo nililiongelea suala hili kwa undani. Bofya hapa: http://matondo.blogspot.com/2009/06/ati-ze-utamu-imetufundisha-nini.html
On 1st Nov,2009 Maumba wrote
Sasa mbona nduguzangu munagombana hayo maneno maneno acheni na ubaguzi mwalimu J.k.Nyerere halitukataza tusiwenao Ubaguzi.mmm Dj ..... pole na wewe ndio ushachanga damu tena mmmmm
On 1st Nov,2009 Malaika wrote
Nilikuwa sikujua sisi ni watu wa chini kiasi gani hadi huu msiba na kitendo cha ajabu kutokea. Sisi ni masikini wa mwisho kiakili hata hakuna mtu anaweza kufikiri kima chake. Hata Ulaya mahali ambapo pangetufanya tukawa ndugu, basi aibu ya mwisho hata kule Tz ambako watu hawajaishi kwenye ustaarabu mkubwa kama huu wa Ulaya, basi hawako nyuma hivi. Naona haya kujiita Mtz. Sijui kama ninaweza kumsalimu Mtz nikikutana naye barabarani tena. AIBU YA MWISHO TENA! Vitu vya ajabu hivi vinapotokea huwa vinaunganisha watu, lakini sisi waTz vinatutenganisha na kuonyesha ubaya wetu ulivyo mkubwa. KHERI YENU NYIE MLIO BORA NA HAMKUZALIWA WASUKUMA! LAKINI NASHANGAA KAMA NYIE NI WATANZANIA HALISI labda KOKO.
On 1st Nov,2009 Msamalia wrote
Suala sio suala la Muungano wala la TANDEN , hichi ni kitendo cha kipumbavu na cha aibu kabisa alichokifanya huyu bwana. Ameharibu kabisa jina la watanzania walio Denmark na Duniani kwa ujumla. Wacha sheria ichukue mkondo hakuna cha kusema tuungane wala nini? Hatuwezi kuunga mkono upumbavu uliofanywa na mpumbavu, na iwe fundisho kwa wengine wanaoishi ishi tu hapa Denmark bila malengo yeyote na kuishia kunywa pombe tu.
On 1st Nov,2009 maajabu wrote
Malaika mawaza yako yanasikitisha sana, eti "Naona haya kujiita Mtz. Sijui kama ninaweza kumsalimia Mtz nikikutana naye barabarani" Comments zilizotolewa umu ni za mtu yoyote wala usiyemjua, inawezekana akawa ni mtu mmoja anaweka majina tofauti tofauti, na hauwezi ukajumuisha mawazo aya kama ndo mtizamo wa Watanzania wote. Please glow up! Kuna more than 200 Tanzanians in Denmark, comments apo juu ni kama 18, do the calculation kama kweli 18 comments can represent more than 200 people. By the way, anybody can comment here, si lazima we ni mtanzania. Shame on you Malaika for your comment.
On 1st Nov,2009 Matondo.blogspot.com wrote
Mbali na haya mambo ya ukabila (ambayo pengine ni ya aibu zaidi kuliko mambo aliyofanya huyu Bwana), kuna lolote la maana ambalo mnajaribu kufanya huko Sweden kumsaidia jamaa anayetuhumiwa kufanya haya mauaji (natumaini mnaamini ile dhana ya innocent until proven guilty) na hasa familia ya Marehemu na watoto wao? Mchango kidogo/maua/kadi n.k. kutoka Tanden kwenda kwa familia ya Marehemu itafaa sana. Mimi niko tayari kutuma mchango wangu kama MTANZANIA!
On 1st Nov,2009 Dada Asha wrote
Nimesoma maoni yate apa mimi kwa upande wangu tatizo sio kabila kwani wajinga wako katika kila kabila, ila mimi siwezi kumuunga mkono uyu muuwaji ata siku mmoja na sioni sabu ya muungano apo inamaana ninapomuunga mkono uyu bwana na mimi pia ni muuwaji. kitendo alichokifanya hakubaliwi mbele ya dunia wala mbele ya mungu, ni kweli kama nyinyi mlikuwa malafiki na uyo bwana kwanini hamkuweza kumsaidia mwenzenu wakati mlipomuona yuko na wakati mgumu.ilo ni kosa kubwa na nawaelewa waliotaoa maoni ya kushutumu.
On 1st Nov,2009 Dj wrote
Basi tena inatosha
On 2nd Nov,2009 Kamala wrote
Mungu Ibariki Tanzania!
On 2nd Nov,2009 Kamala wrote
TANDEN stands for Tanzania Denmark Association. It's main goal among others, is to bring together all Tanzanians living in Denmark, networking and help each other in times of need and happiness. KWELI???? Rekebisheni hii. It is supposed to read: Its main goal among others, is to bring together all Tanzanians living in Denmark, networking and help each other in times of need and happiness according to TRIBAL LINES!
On 2nd Nov,2009 kamala_read wrote
N.B: Forum,comments,blogs,news and articles do not necessary represent the views or stand of TANDEN
On 2nd Nov,2009 Dj wrote
Kamala unaogelea Tanden kwa waTz halafu Unatuandikia Kizungu sibora uandike Kidenish au kiswahili Hapa tuko Denmark na sisi Watz Unaonekana Umesoma lakini Unahitaji Msasa
On 2nd Nov,2009 Neville Meena wrote
Jamani, jamani, jamani chonde chonde. Mimi naishi Dar es Salaam Tanzania na nilipoona taarifa hii nilisikitika. Hapa nasisitiza kwamba TATIZO limetokea wala hakuna wa kulaumiwa. Hatuwezi kuwa na majibu ya moja kwa moja kuhusu suala hili kwani kuna mambo mengi yasiyofahamika kuhusu uhalisia wa tukio lenyewe. Huyo jamaa yuko ndani anasubiri kufikishwa katika vyombo vya sheria, tusubiri tuone wataamua nini. Jambo la pili ni kwamba sisi tuliobaki, iwe tunaishi Tanzania, Denmark au kwingineko duniani tujifunze kuishi na wenzetu vizuri. Tujue kwamba kuna sheria na tusipozifuata tutajikuta tukiwaachia wenzetu matatizo. Mwisho wale mlioko Denmark poleni na hiyo ni changamoto kwenu, kana kuna watu wengine wenye mwelekeo wa kufanya mauaji, basi tuwasaidie. Wakati mwingine watu hufikia hatua ya kufanya unyama wa aina hiyo kutokana na kukosa watu wa kuwashauri na kuwaelekeza. Tuwashauri na kuwaelekeza wenzetu ili wasifikie hatua ya kufanya uamuzi hatari kama huu. Poleni sana ndugu zangu, ila msikate tamaa maana maisha lazima yaendelee.
On 2nd Nov,2009 tzdk wrote
Niville asante kwa kutupitia na kutuliwaza sisi watanzania tuliokuwa apa denmark. Ni kweli hakuna cha kufanya na wanaume wengi wanaishi na wanawake wa apa wanahitaji mafunzo fulani ya kuwaelimisha zaidi hawa waliotolewa uko bushi wanaishi maisha ya kusikitisha sana. unaona wanavyoongea apa wanaandika wakiwa wameshatoka kwa mama sipe kupata kidogo, ni kweli tunayo mengi ya kujifunza kutokana na jambo hili, kwani mwenzetu halikuwa hana kibali cha kuishi apa lakini alisha kuwa na familia watoto wa 2 na tungekuwa na umoja tungemsaidia kutafuta advocate mzúli angafanikiwa tu kubaki apa ingawa alikuwa hajafikisha muda wake wa kupata kibali. lakini sisi ushauli wetu ni pombe na kushangilia yaliyomkuta mwenzetu. matatizo kama aya ndio ilibidi akimbilie kwenye chama ili kupata ushauli ata kama chama kisingemsaidia lakini kuna wasomi ndani ya chama na wanaojua sheria naamini wangeweza kumsaidia kwa moyo mmoja. kwa aliye na vijitatizo omba ushauri kutoka kwenye chama chetu kuna washauri wazuri sana na hutasikia kwa mtu.
On 2nd Nov,2009 Malaika wrote
Maajabu .. shame should be upon you! Even one comment that is tribal is representative enough for me, do not need to be 200. A human being commited a crime, but all Sukumaland was to blame. He did not do it because he was Sukuma but because he went astray. One comment was enough for me - Thank you.
On 2nd Nov,2009 mpita njia wrote
Mbona vinakuuma sana we bibi Malaika au na wewe ndio???????????
On 2nd Nov,2009 Muhe na myach wrote
KAMWENE Nduguzangu munaonaje Tukatafuta Siku na wakati tukakutana Watanzania sote tukaongea jambo hili kwasababu hii ni mara ya kwanza kwa watanzania kufikwa na Jambo kama hili mimi naona itakuwa tumefanya Jambo Zuri kama tutaweza kukutana Nahitaji Kuungwa mkono wale watakaeona kama Nisawa Suala hili. Ndagafijo na Maloli(Asanteni sana)
On 2nd Nov,2009 MCHOVU wrote
Muhe na myach Nakuunga mkono kuna mkutano wa tanden Kutakuwa na watanzania wengi unaweza fika hapo tukajadili hili pia Naunga mkono na wengine wote tujitokeze. TUSIILAUMU TANDEN TANDENI NI YAKILA MTU KILEMA; MWIZI; MBAKAJI NA YEYOTE YULE LAKINI TANDEN INAANGALIA UTANZANIA ZAIDI NA SI NANIKAFANYA NINI; KAMA TANDEN NATUMAIN INAHAKI YAKUJUA NINI KINAENDLEA KATIKA HILI JAMBO; KAMA TANDEN INA UNGA MKONO AU KUTOUNGA MKONO HUYO JAMAA MUUAJI HAIPASWI KUPATA LAWAMA KWASABABU HUYO JOMBA NI MTZ SO TANDEN HISIPEWE LAWAMA WADAU WA KUCHANGIA HIYO ISSUE.
On 2nd Nov,2009 Rajubai wrote
Malaika waonekana washangaa sana au (Shemegi zimataa)sababu mti twamjua apenda vyakunoga.
On 2nd Nov,2009 maajabu wrote
Malaika, i think we are from different planets and i am not going to continue arguing with you. Just wanna make last point though, If you believe as you said in previous comment , that, one comment represent views of all tanzanians in Denmark and for that you had audacity of saying "Naona haya kujiita Mtz. Sijui kama ninaweza kumsalimu Mtz nikikutana naye barabarani tena", then i am done with you, i'm not gonna waste my time here. That is the best way of dealing with people like you.
On 2nd Nov,2009 JIBABA wrote
KUWENI MAKINI NA KOMENTS ZENU, SI AJABU HAWA MASOJA WA KIDENI WAKAINGIA HUMU JAMVINI KATIKA KUTAFUTA BAADHI YA HABARI, ANGALIENI MSIJE MKAONGELEA JAMBO AMBALO UNAFIKIRI LINAWEZA KUWAWEKA WATU WENGINE KATIKA WAKATI MGUMU,
On 3rd Nov,2009 mtoii wrote
Mazee mbona wajishtukia twaishi kwenye Hatia hapa
On 3rd Nov,2009 Mwanachama wrote
Jamani jamani yote aya ya nini? mi naungana mkono na Bwana Mchovu apo juu ni vizuri tukutane na tuongelee ili jambo na jinsi gani ya kumsaidi mwenzetu na familia yake mfano Dada yake na watoto wake. Mji yakisha bwagika hayazoleki jambo hili limetokea na limeshatokea ni vizuri kuongelea lakini bla bla hazitatufikisha kokote. upande wangu naona kunamaoni mengi mazuri na mabaya lakini hii yote inatokana na jinsi watu tulivyotofauti tulivyolelewa na tunavyochulia mambo simshutumu mtu yoyote kwa maoni yake. Nimesikitika sana juu ya Mnegela kwani jinsi nilivyomfahamu hakuwa mtu mmbaya wa kiasi hiki yaliyomsibu ni makubwa na yakusikitisha sana. ni hilo tu
On 3rd Nov,2009 Malaika wrote
Maajabu -- I guess you did not understand me right from the beginning, that, I really did not want to have anything to do with you. You do not digest my comment I can see .. one commentg is enough. Some of us do not live in a world where we condemn people by the tribe, but by the crime. So, I guess you can go hang, Maajabu.
On 3rd Nov,2009 Malaika wrote
I spoken with wise people and they have told me that, I should stop commenting about this sad issue with uneducated people. Since you have turn the all issue to tribablisim.Mtaji J.J!!!!!!!!
On 3rd Nov,2009 malaika wrote
Sorry for the wrong spelling!!!! I meant triblalism
On 3rd Nov,2009 Malunde wrote
Kwakweli inabidi sasa Wasukuma wa dk wawe na chama chao ili waweze hata kuwasaidia hao wenzao wasio na maisha maana ishakua tabu sasa. na hao wazungu nao wamezidi kwenda kuokota hata visivyookoteka!!
On 3rd Nov,2009 Malaika wrote
So what i think you are Uneducated to Malunde and any One if Dz not like may comment
On 4th Nov,2009 mkora wrote
Haya malika, nawewe kama ujui kiswahili, uache kuandika nenda kwawasomi. hapa ni watanzania twajivunia lugha yetu. kila mwenye nchi aringia lugha yake wewe uko wapi?...nenda kaandike kwa wasomi wenzako.
On 4th Nov,2009 kidevu wrote
Nakuunga mkono mkora. malaika ni tz alianza kuandika kiswahili,sijui ataka kuonyesha ajua hicho kizungu. pole ringia lugha yako mtz.
On 4th Nov,2009 mwanachama wrote
Anne Holmstrøm anazikwa Ijumaa na wote mwakalibishwa tujitolee na twendani tukamzike uyu Dada kama tunapinga kilichotokea tuonyeshe moyo wa upendo na heshima. wapi na saa ngapi ambeni anua kutoka kwenye chama mtapewa, Nashangaa apa ndani wanashinwa kutoa hii habari siwaelewi hawa watu. najua kuna wengi wangependa kwenda kutoa heshima zao za mwisho. WM. weka taarifa hii tafadhali.
On 4th Nov,2009 Malaika wrote
Hwo care angalia hapo juu kifungu cha maneno kimeandikwa Luga ya kizungu au kiswahili Lucky You if your Uneducated You need to go back to school i think. so you can gart Bt Lf this is 2009
On 4th Nov,2009 Malaika wrote
Thank you for the many people now called malaika. The only real Malaika comment is that with the name of "maajabu" from the 3rd of Nov. The rest are new malaikas who are used to insulting people. And all this in the name of a crisis amid us.
On 4th Nov,2009 jina sanaa wrote
Comment hidden due to reported abuse
On 4th Nov,2009 Malaika wrote
Its me am realy malaika Bt sm people use may name just to gt Atshan pls dnt do that is not good.
On 4th Nov,2009 mayotz wrote
Utajiju unayejiita realy malaika, ulitaka umbea sasa upokee
On 4th Nov,2009 chachandu wrote
Haya malika jaribu kuandika kiswahili nasie wenye elimu ndogo tuelewe . namuunga mkono mkora kasema kweli.
On 4th Nov,2009 mkora wrote
Asante sanaaa...chachandu,huyo anayesema majina ya watu nani?naomba uache. jina sanaa sio vizuri.
On 4th Nov,2009 Malaika wrote
Comment hidden due to reported abuse
On 4th Nov,2009 jada wrote
ANILI kaingiaje tena?sizani kama mambo haya hapa ni pahala pake. Mungu amlaze marehemu mahala pema peponi,amsamehe makosa yake .ameen
On 4th Nov,2009 maya wrote
Kweli akili ni nywele kila mtu anazake. baada ya kuongelea yaliyo tokea na kujifunza kutokana na makosa mnaanza kuongelea habari za maisha yenu. JADA uliyozungumza yakweli kabisha.ustarabu ni jambo lamaa kabisa.
On 4th Nov,2009 jina sanaa wrote
Wacheni tuseme kweli yanauma sana na huyu Malaika kazidi sasa amenikasirikia kwasababu sijamchukulia mzigo wake nilipokwenda Tz nimeshidwa kwasababu kaka yake aliniambia nikachukuwe mzigo nyumbani kwake na nilipokwenda ameanza kunitongoza ndio maana sijachukua mzigo wake sasa asinikasirikie mimi
On 5th Nov,2009 chachandu wrote
Asante malaika. sasa namimi naelewa mambo sihayo kumbe wajua lugha ya nyumbani. nilikimbia umande.
On 5th Nov,2009 kidevu wrote
We chachandu wamtetea nini malaika? watu wenye elimu ndogo uwajui. aonyeshaakusoma huyo yupo kama wewe mliokimbia umande.
On 5th Nov,2009 chachandu wrote
Ulifanya la maana jina sanaa kama mambo yalikua hivyo. asikasirike kabisa.
On 5th Nov,2009 Malaika wrote
Comment hidden due to reported abuse
On 5th Nov,2009 mkora wrote
Comment hidden due to reported abuse
On 5th Nov,2009 mpatanishi wrote
Comment hidden due to reported abuse
Comment feature has been disabled for this news
Matokeo ya form four yamliza mdau
Mtanzania aliyeuawa India azikwa bila kichwa
Another toddler dies at day-care
Rolig antiracistisk demo i Århus
Dansk Folkeparti: ban foreign languages in schools
Rais Kikwete aagiza barabara za juu zijengwe Dar
Tanzania: Consultant appointed for national ID project
Danske Bank sees difficult 2010. Bad loans cost Danske Bank DKK 25.7 billion in 2009.
Bankruptcies: 1700 jobs lost in January
Maajabu ya Mungu ajali ya Tanga, mtoto wa miaka miwili atoka mzima
Mbunge awaonya wanaomtumia SMS za mapenzi
Serikali ya mseto yapitishwa Zanzibar
Harder to get Denmark permanent residence permit
Dansk Folkeparti voters receive bottom grades in naturalization test
Tanzania govt vehicles to run on compressed gas
Kenya, Uganda now want Monetary Union delayed
Student loans defaulters beware
CAG kuchunguza nyumba ya gavana bOT
Msekwa apewa miezi mitatu alipe deni la mtoto wake
Haiti Earth Quake: A boy 5, found alive after 8 days under rubble
There are more important issues to discuss in Denmark than Burkas- Christian
Hatimaye mkataba TRL kuvunjwa
Serikali yaamua kushirikisha watanzania wa nje kujenga nchi
China gives Tanzania $180m in loans: minister
Denmark's foreign debt eradicated
I have one car only - Tanzania PM Pinda declares his assets
Karume hagombei tena
I don't understand Tanzanians, why is everything polepole?
African migrants leave Italian town after attacks
Muslim extremists are well-integrated