Welcome to TANDEN information portal. Thursday, 9th Sep,2010
Username: Password:
Upcoming Tanzanians' events
Tomorrow - Jagwa Music Concert
11 Sep - Eid el Fitri Celebration
18 Sep - TANDEN family day
Public holidays in Denmark
24 Dec - Christmas Eve
25 Dec - Christmas Day
26 Dec - Boxing Day
Denmark: Best African Achievement Awards 2010 ■■ Press release: Mzungu Kichaa on European tour in August 2010 ■■ Dulla Mnanga Album "Nani" is out ■■ Invest in Tanzania■■ Welcome to Tanzania, the land of Kilimanjaro,Zanzibar and Serengeti
Mbunge awaonya wanaomtumia SMS za mapenzi
Bookmark and Share

Source : Habari leo
Posted by: Webmaster on 30-Jan-2010

MBUNGE wa Koani, Haroub Said Masoud, amewaonya wanaomtumia ujumbe mfupi wa simu ya mkononi (SMS) za mapenzi.

Mbunge huyo ametangaza bungeni kuwa anampenda mke wake hivyo wanaomtumia SMS za mapenzi hawawezi kumyumbisha.

Masoud amewaonya kuwa wakifanya hivyo atatumia sheria mpya iliyopitishwa leo kuwashughulikia.

Kwa mujibu wa Mbunge huyo, SMS hizo zimewahi kusababisha mgogoro katika ndoa yake.
Amedai kuwa, kwa kuwa namba za wabunge zipo wazi,watu wasiofahamika wamekuwa wakiwatumia wabunge SMS za mapenzi.

Kwa mujibu wa Mbunge huyo, watu hao wakiwaona wabunge kwenye runinga, wanatafuta namba zao na kuwatumia SMS za mapenzi.

“Eti unapokea ujumbe unasema sweet I love you tuonane, kweli ujumbe kama huu mkeo akiuona atakuamini?” amehoji Mbunge huyo na kudai kuwa yeye ni miongoni mwa waathirika wa SMS za mapenzi.

Comments
On 1st Feb,2010 Nyota wrote
Kujihami sio dhambi.
Enter your comment below:
Your Name:

Your Comment:


Enter the security code below
68fx

Tanzania kuipiku Marekani kwa Uranium
Denmark will be dependent on immigrants
helikopta za kukodi zatua dar
Jobsearch Kick-Off Course on September 14
The Danish public accounts committee gets a close look at Danish support in Tanzania
Australian magistrate rules that the 'N-word' is not offensive
New rules regarding residence permits for au pairs
Muhidin Michuzi: Libeneke jipya - michuzipost.com
Denmark Starts to Trim Its Admired Safety Net
Jobsearch Kick-Off Course on September 14
Danish Immigration Service: Information about law changes
Youth-to-youth fund launched in Tanzania and Uganda
DF: People with non-Western background are not welcome in DK
Zimbabwe yataka mabalozi wa nchi za magharibi kuomba msamaha
Denmark : PM rejects DF demands on immigration
Mzungu Kichaa - new judge for Tanzania TV talent show , bongo star search
Vigogo waanguka uchaguzi wabunge CCM. Malecela nje!
Colonialism and the 'scramble for Africa'
Untold story: Night meeting that saved Moi presidency
Mdanish Jan Poulsen atua Tanzania kumrithi Maximo
Zanzibar votes for unity gov't
Family reunification with a foreign spouse: 24-years rule update
Tanzania traveler shares beauty of arrival
Banking executive: wages are too high
Copenhagen: Bilinguals feel like second rate students
Tanzania: Local Govts Frustrating Country Revenues
Au pairs stay on in Denmark - as nurses
Ministry sets up ‘dating site’ for expats and Danes
Copenhagen: Police dog found DKK 5 million
Tanzania Radar Scandal: U.K. Bribery Reparations a Risky Business