Matokeo ya form four yamliza mdau
Source : Issa Michuzi
Posted by: Webmaster on 08-Feb-2010
Nimepokea kwa huzuni sana matokeo ya kidato cha nne kwa watahiniwa waliofanya Mtihani mwaka 2009.
Licha ya kuwa ufaulu umeshuka kwa asilimia 11.2 ila ukiangalia kwa makini takwimu hizo ni za kuhuzunisha na nimeshindwa kujua ni nani hasa wa kupewa lawama au kuwajibika kutokana na haya matokeo maana ni aibu kwa nchi yetu ya Tanzania.
Watahiniwa 339,925 walifanya
mtihani huo na matokeo ni kama ifuatavyo:
Daraja I-III watahiniwa 42,672 Asilimia 17.85%
Daraja IV watahiniwa 130,651 Asilimia 54.66%
Daraja 0 watahiniwa 65,708 Asilimia 27.49%
Bofya hapa kusoma zaidi
Comments
| On 8th Feb,2010 Mzalendo wrote |
| DU hii yote ni kuchangaya siasa na hali halisi ya elimu katika nchi yetu ya Tanzania.Ukiangalia suala la kubadilisha shule za msingi na kuzifanya sekondari huku hakuna waalimu ndicho cahnzo cha kushuka kwa elimu Tanzania.Na hapo bado huko high school na elimu ya chuo nako ni hayo hayo.Yule mkuu wa wilaya aliyechapa waalimu viboko namuomba aingie bungeni akawacharaze wabunge viboko pia. |
Enter your comment below:

