Kanga Party: Saturday 6th February
Posted by: Tiso on 13-Jan-2010

The East African Society presents the Kanga Party.
Date: Saturday 06th february 2010
Time: 21:00 til 05:00
Address: Haraldsgade 69 2100 Kbh Ø
Buses : 4A, 42, 43 and 15
Entre : 50 Kr.
Our esteemed Dj´s Prince Anil and Denis from Kenya will be performing.
Soupe and bites will be served at reasonable prices.
For more information please call one of these numbers.
Anil: 31259478 Biggie: 25523836 Bahani: 40104427
All are welcomed !!
Comments
| On 13th Jan,2010 jamila wrote |
| Kanga party na baridi hili jamani hamfikirii kwanza.walau hata mngesubiri kidogo baridi lipungue jamani,mnafanya mambno bila kuangalia na ndio maana party zenu hazijazi.maana hamufikiri kwanza kabla ya kufanya kitu why? |
| On 13th Jan,2010 jamila wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
| On 13th Jan,2010 Sisimizi wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
| On 13th Jan,2010 dunia wrote |
| Ndugu Jamila, lakini hio party itakuwepo ndani ya Holi na utaketi kwenye viti na maheater yatowa joto, sasa baridi gani uzungumzayo. Utahakikishiwa kwanba ndani ya Holi kutakuwa na ujoto muafaka lakini hayo ya nje bahati mbaya hatuna uwezo nayo. Tukiyafata hayo ya nje basi tusingefika Ulaya. Ahsante |
| On 13th Jan,2010 Kibaka wrote |
| Sasa wewe dada jamila ni wakuja leo? unadhani utatoka kwako mpaka holini kwa upande wa kanga, basi unaitafuta nimonia.Inaonekana wewe sio mtokaji, ni mtu uliozoea kuvaa kanga na kukaa chini ya heater, waachie wenye kuyaweza. Usishindane na tembo kunya........... |
| On 14th Jan,2010 john wrote |
| Hongera sana east african society kwa kutufanya sisi watanzania tujiskie tupo pamoja, kwa vile party zenu nimezikubali na mnazifanya vizuri na kwa nidham ya hali ya juu mnaionyesha mki andaa party zenu. asanten kwa mwaliko.tunawapa heko kwa ushirikiano na umoja wenu.sisi tutakuja kama kawaida |
| On 14th Jan,2010 kiwengwa wrote |
| Sasa wewe Jamila kwani ukisikia kuna maonyesho ya Bikini unafikiri hao wanaofanya hayo maonyesho wanatoka tokea wanapoishi mpaka kwenye Holi la maonyesho na Bikini zao bila ya kujihifadhi miili yao na kivazi chengine.ndio maana kiwengwa kasema kama kunawatu wanamapepe.hahaha Amka dada |
| On 16th Jan,2010 Hawai wrote |
| Dooo nimependa sana jibu alilopewa Jamila na kiwengwa.lakini na mimi na muuliza huju Jamila kama Anafanya kazi hapa Dk. akivaa yunifomu ya kazini sasa anakuwa havai koti labaridi akiwa anakwenda kazini? |
| On 19th Jan,2010 Bongo! wrote |
| Mtutengenezee supu ya kuku(mchemsho)na mchanganye na mboga kama viazi,ndizi mbichi,karoti,njegere,ndizi,nyanya,vitunguu maji na vitunguu swaumu kidogo, na ndimu au malimao ndiyo itakuwa bomba! |
| On 20th Jan,2010 chakubanga wrote |
| Hii web mbona kazi, mashaliti mambo mengi yamefutwa iyo kazi ninani anaifanya jamaani,warembo hao tuwaone wanafananaje ili tukore. |
| On 20th Jan,2010 Kipanya na kigwendu wrote |
| Tuna wapa pore duguzetu wa Haiti kwa mauti urio wapata hawa duguzetu mimi na wapa pore na mugu atawasaidia kuwaponya nisawa Kama una vijiseti kidogo ua weza kuvituma kwa hawa duguzetu kwa sababu reo niware na kesho ni wewe mmmmm |
| On 5th Feb,2010 adam wrote |
| Hongera sana waandaaji wa kanga party na ni muda mzuri wa jamaa kukutana na ku enjoy pamoja mimi na mke wangu tutakuja . keep it up east african society na tuna waombea umoja wenu udumu milele. |
| On 8th Feb,2010 member wrote |
| Hongereni sana waandaaji wa Kanga party ilikuwa nzuri na yenye kuvutia sana.Waliotoa show nao nawapa hongera sana. Nawatakia kila la heri. |
| On 9th Feb,2010 TEACHER wrote |
| HONGERAMI SAAAAAANA KWA MAANDALIZI MAZURI TULIIENJOY SAAANA PART ILIKUA NZURI SAAAANA!!!!! |
| On 9th Feb,2010 Fatuma wrote |
| Mulijitahidi sana Jamaa Party ilikuwa safi sana tunaona maendeleo yenu yanapanuka na inaonekana kama munasikiliza maoni ya watu wengine ndio maana mambo yanakuwa Bam Bam |
| On 10th Feb,2010 tiso wrote |
| Asanteni sana kwa comments zenu,tunajitahidi kuwafurahisha ndugu na jamaa,kwa vile na sisi tumeshapata mtandau wetu basi munakaribishwa kuutembelea,www.east-african-society.dk |
Enter your comment below:

