Taarifa ya msiba
Posted by: Webmaster on 26-Jan-2010
Tunapenda kuwatangazia kifo cha mtanzania mwenzetu Rose Hosea(Mwajasho) kilichotokea uko Tanzania jana tarehe 25-Jan. Mwajasho alikuwa akiishi Copenhagen siku za nyuma.
Kutafanyika mkusanyiko maalum wa kumkumbuka marehemu siku ya Jumapaili tarehe 31-January, saa saba mchana, pale Axeltorv 3, Copenhagen . Wote mnakaribishwa .
Tunaomba ushirikiano wenu katika msiba huu. Ukipata habari hii mtaarifu mwingine.
Wenu
Webmaster
Kwa niaba ya
Lilian Clausen
Mwenyekiti
TANDEN Cultural Committee
Comments
| On 27th Jan,2010 Nane wrote |
| Kulikoni... |
| On 28th Jan,2010 hussein wrote |
| R.I.P |
| On 29th Jan,2010 wanachama wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
| On 29th Jan,2010 kifo. wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
| On 29th Jan,2010 Ebo! wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
| On 31st Jan,2010 Mtanzania wrote |
| Huko sio uko |
| On 1st Feb,2010 Tz wrote |
| Natoa pongezi kubwa kwa Dada Lilian Clausen kwa Jitihada yake alioyotoa kwenye msiba wa nduguyetu Rose mwajasho.Na natoa pongezi nyengine kwa wasaidizi na walozuhuria mkwenye mkusanyiko uliofanyika na M/mungu amlaze mahalapema peponi dada yetu Rose Mwajasho.And God Bless you lilian Clausen 4Evry tnings you do 4Ur ppl. |
| On 3rd Feb,2010 Mtanzanania wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
| On 4th Feb,2010 Tz wrote |
| Hahaha |
| On 4th Feb,2010 MBUZI wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
| On 4th Feb,2010 Kibaraza wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
| On 4th Feb,2010 MBUZI wrote |
| Comment hidden due to reported abuse |
Comment feature has been disabled for this

