DSB: Usafili wa train bure kila Jumapilli ya kwanza ya mwezi
Posted by: Webmaster on 08-Feb-2010
Kama ulikuwa haufahamu, DSB wametangaza kwamba tokea mwezi huu wa February, kila jumapili ya kwanza ya mwezi, abiria hauitaji kununua tiketi, usafili ni bure.
Kwaiyo tarehe zifuatazo usafili wa train (S-Tog) ni bure, kuanzia train ya kwanza mpaka ya mwisho;
7-February,7-March, 4-April, 2-May, 6-June,4-July, 1-August,5-September, 3-October, 7-November, 5 December.
Kwa maelezo zaidi bofya hapa
Comments
| On 14th Feb,2010 ubuyu wrote |
| Thanks webmaster kwa information |
Enter your comment below:

