Marekebisho ya siku ya kucheza mpira Fælleparken
Posted by: Nikita on 08-Jul-2010

tarehe ya siku ya kucheza mpira ni Jumamosi ya tarehe 10/7/2010 muda saa 11:00 na sio tarehe 11/7/2010 kama ilivyotolewa kwenye tangazo la mwanzo.
Kwa wale wapenzi wa mpira wa miguu wa jinsia zote, mnakaribishwa uwanjani,Fælledparken siku ya jumamosi ya tarehe 10-7-2010 muda saa 11:00 ya asubuhi.
Nia na madhumuni ya siku hiyo ya jumamosi ni
1.Kukutanisha wapenda mpira wa miguu wa rika zote
2.Kutekeleza mkakati wa kukutana siku za jumamosi na kufanya mazoezi kwa afya zetu.
3.Kuandaa siku moja kuu kwa ajili ya tournament ya mpira wa miguu kwa watoto na wakubwa zitakazo cheza na waTanzania waishio nchin hapa.
4.KUCHEZA MPIRA NA KUCHANGAMANA NA WATU MBALIMBALI
Enter your comment below:

