PONGEZI KWA WALIO WEZA FIKA UWANJANI SIKU YA JUMAMOSI
Posted by: Nikita on 12-Jul-2010

Shukurani na pongezi ziwaendee wale wote walio weza fika siku ya jumamosi Fællerparken kucheza mpira.
Siku ilifana kwa kuweza kukusanyisha tamaduni tofauti na rika mbalimbali, kwa watoto waliweza kufurahishwa kwa michezo mbalimbali ikwemo kuimba nyimbo za kiswahili, washiriki wa siku ya jumamosi walitoka Tanzania,Nigeri,Congo na Denmark.
Kutokana na ushiriki mzuri, kutakuwa na siku nyingine ya kucheza mpira jumamosi ijayo ya tarehe 17/7/2010 muda 13:00(saa saba mchana) mahali paleplae Fællerparken.
Enter your comment below:

