MPIRA WA MIGUU FÆLLEDPARKEN TAREHE 31/7/2010
Posted by: Nikita on 25-Jul-2010

Tanden fc inapenda kuwakaribisha Watanzania wote waishio Denmark,pamoja na watu wa nchi mbalimbali, siku ya 31/7/2010 muda wa 13hrs "saa saba mchana",kujumuika pamoja kwa kucheza mpira.
Nyote mnakaribishwa, njoo ukutane na waTanzania wenzako,uburudike na kufurahi kwa kucheza mpira pamoja.
Unaruhusiwa kuja na familia yako, njia moja wapo ya kudumisha mila na kuendelea kuchangamana.
Enter your comment below:

