TANDEN YAWAKILISHWA SWEDEN

TANDEN YAWAKILISHWA SWEDEN

TANDEN YAWAKILISHWA SWEDEN

Tanden yawakilishwa Sweden katika ghafla ya kumuaga Mh balozi Dora Msechu, ambaye amemaliza muda wake wa kazi katika nchi za Scandinavia na Baltic.

Ilikua siku ya Jumamosi 30-09-2017 kaitka mji wa Stockholm. Viongozi walio ambao waliowakilisha Tanden alikua mwenyekiti- Fortunatus, katibu-Tambwe na mwenyekiti wa kamati ya utamaduni –Ang’e.

Ujumbe kutoka Tanden uliweza kabidhi zawadi kwa Mh balozi kwa niaba ya watanzania waishio hapa Denmark.

“Mh balozi Dora Msechu amefanya kazi kwa ukaribu na Tanden katika kufanikisha mambo ya maendeleo Tanzania na hapa Denmark. Ujumbe muhimu ambao anatuachia Mh balozi ni kwamba , watanzania tunahitaji kua wamoja na kuto kubaguana kwani sisi sote ni ndugu na tuthamini tamaduni zetu, Kwani hamna mtu mwengine atakaye weza fanya hivyo zaidi yetu sisi watnzania”

Katika ghafla hizo kulikua pia na uwakilishi wa watu mbalimbali na jumuiya za watanzania katika nchi za Scandinavia.

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close