Yaliojiri kwenye Mkutano mkuu wa mwaka 2018

Yaliojiri kwenye Mkutano mkuu wa mwaka 2018

Yaliojiri kwenye Mkutano mkuu wa mwaka 2018

Tanden inapenda kuwashukuru wale wote walioweza kuja na kushiri kwa namna moja ama nyengine kwenye mkutano mkuu wa chama. Pia kwa wale wote ambao walichukua muda wao wa kuleta maoni yao kwa njia ya email, simu na what app group.

VITU MUHIMU VILIVYOJIRI NA KUONGELEWA KWENYE MKUTANO:

  1. Wanachama wanakumbushwa kulipa ada zao za mwaka 100kr.
  2. Unaweza kujiunga na Tanden kwa 150kr tuma pesa kwenye akaunti Danske Bank reg no. 4120 account no 4120026739 “kichwa cha habari mwanachama mpya”.
  3. Tanden inahitaji watu katika kamati zake ili kuongeza nguvu katika kufanikisha dhumuni lake.
  4. Umuhimu wa kua na umoja ulio dhabiti upo na hili litaweza dhana ya kusaidia Tanzania na hapa Denmark “ intergration “.
  5. Umoja ni nguvu watanzania waishio hapa wapendane,wawe kitu kimoja bila kujali itakadi zao za kisiasa au dini.

IMG_7156IMG_7155IMG_7154

 

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close