Events
08Oct
All Events
Swahili Festival “Tamasha la Kiswahili” 08-10-2022
Kwa mara nyengine tena Tamasha la Kiswahili "Swahili festival 2022" . njoo ujionee utamaduni wa chi za kiswahili (Kenya,Uganda,Rwanda,Congo,Tanzania, Burundi n.k) basi usikose siku hii.
Nini kitakuwepo:
- Ngoma
- Muziki
- Fashion show
- Maduka ya bidhaa za kiswahili
- filamu za Afrika
- NGO zinazofanya kazi Afrika mashariki
- unataka kwenda kufanya prakitik East Africa njoo utapata maelezo
- Utalii
Tamasha hili hakka sio la kukosa.
- Start
- Oct 08, 2022 11:00
- End
- Oct 08, 2022 20:00
- Event Category
- Festivals
Details
- Phone
- Swahilihuset
- Website
- https://www.facebook.com/events/1149397662509886/
Organizer
Venue
Close
Close
Close