Kandanda Jumamosi 02-06-18 kl.12:30 Fælledparken

Kandanda Jumamosi 02-06-18 kl.12:30 Fælledparken

Kandanda Jumamosi 02-06-18 kl.12:30 Fælledparken

Timu ya Tanden FC yawakongwe na vijana watakutana Jumamosi 02-06-2018, saa sita na nusu za mchana katika viwanja vya Fælledparken katika kufanya mazoezi. Kwa wale watakao pata muda wa kuja kujumuika kwa vijana na wazee mnakaribishwa.

Twajua sote ya kwamba michezo ( mpira wa miguu) ni njia mojawapo ya kukutana na watu na kuchangamana hususani kwenye hiki kipindi cha majira ya joto. Karibuni rika na jinsia zote zinakaribishwa.

SONY DSC

SONY DSC

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close