Tanden iliwakilisha Tanzania katika tamasha la African Village lililofanyika 04-06-2022 hook Gladsaxe. Pongezi nyingi ziwaendee kamati ya utamaduni pamoja na katibu wa Tanden kwa jitihada zake katika coordination. Umo ...
Category: Political News
57th Independence celebration 01.12.2018 Vanløse
In celebrating Tanzania Independence day TANDEN is pleased to announce this year 57th TANZANIA INDEPENDENCE DAY CELEBRATIONS will take place Saturday 01.12.2018 at Kulturstationen Vanløse This day will showcase culture ...
Kandanda Jumamosi 02-06-18 kl.12:30 Fælledparken
Timu ya Tanden FC yawakongwe na vijana watakutana Jumamosi 02-06-2018, saa sita na nusu za mchana katika viwanja vya Fælledparken katika kufanya mazoezi. Kwa wale watakao pata muda wa kuja kujumuika kwa vijana na wazee m ...
Summer na mpira wa miguu 2018 Fælledparken
Msimu mpya wa majira ya joto na mpira 2018 ulifunguliwa Jumamosi 19-05-18. Timu ya yetu ya Tanden Fc ilifungua pazia kwaajili ya kujichua,kutoa vitambi,kupata nafasi ya kujuana na watu mbalimbali waliofika kwenye viwanj ...
Tanden yawakilisha Tanzania Katifa maonyesho ya Afrika Messen Gladsaxe
Siku mbili mfululizo (Jumamosi na Jumapili) Tanden iliwakilisha Tanzania katika maonyesho ya Afrika messen 2018, ambayo yalifanyika katika manispaa ya Gladsaxe. Maonyesho hayo ambayo lengo lake kubwa ni kuonyesha picha ...
Mvua kubwa zaleta uharibifu Tanzania
Mvua kubwa zinazoendelea nchi Tanzania sasa katika baadhi ya mikoa, zimeleta uharibifu mkubwa na majanga ya vifo watu kupoteza maisha.Katika mkoa wa Dar es salaam sehemu kubwa ya mkoa huo miundo ...
KUBADILISHA PASI
TAARIFA Ubalozi umepata mwongozo kutoka Uhamiaji. Hivyo, zoezi la ku-renew passport litafanyika Siku ya Ijumaa 09/02/2018, København Muda: 11:00 - 14:00 Mahala . Vodroffsvej 22 1900 Frederiksberg C Vitu vya kuzingatia ...