Events

07Oct TANDEN FAMILY DAY  SATURDAY 2017

TANDEN FAMILY DAY SATURDAY 2017

Swahili version below:
Tanzania Denmark Association ( TANDEN) will have a getting together with their family and friends on Saturday 07-10-2017 from 12hrs-16hrs. It is the day were TANDEN celebrate unity and integration "Umoja ni Nguvu" fun, activities for both kids and parents, eating food together and have a chance to socialize will be the theme of the day. #watanzaniadk #chamachawatanzaniadenmark#watanzaniaDenmark #umojaninguvu

The following is the list of food that will be brought by you guys:

1.Chicken pilau
2.Danish salad
3.Sambusa
4.Maandazi
5. Meat source
6.Chicken source
7. Rice bread
8. Boil cow tongue
9.Gizzard
10.Ugali
11.???

Until now the people who have confirm are 33 ( including kids)

The event will take place at GAME, Enghavevej 82 D,

DK – 2450 Copenhagen SV.

All you have to do is just register through katibu@watanzania.dk or SMS to 61283381 and tell us what kind of food would you like to bring and how many people you will bring with you.

NOTE: Please remember to be on time, the event will start at 12hrs-16hrs

•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••

Swahili version:
Tanden inapenda kukukaribisha kwenye siku ya wana Tanden, familia na marafiki kujumuika kwa pamoja siku ya Jumamosi 07-10-2017 kuanzia saa sita kamili hadi kumi kamili za jioni( 12hrs-16hrs). Ni siku ambayo itajumuisha michezo mbalimbali kwa wazazi na watoto wao na rika nyingine.

Siku hii maalumu itafanyika GAME, Enghavevej 82 D, DK – 2450 Copenhagen SV.
Unachotakiwa kufanya ni kujiandikisha jina lako kwa kupitia katibu@watanzania.dk au ujumbe mfupi kwa 61283381 na kusema Chakula gani utakuja nacho na watu wangapi utakuja nao. Kinachobakia ni kua na furaha, njoo tuage majira ya joto kwa pamoja na familia,marafiki zetu.

Ifuatayo ni list ya vyakula ambavyo vitapikwa na watu watakao kuja kwenye mkusanyiko wetu:

1. Pilau la kuku
2. Salad ya kidenish
3.Sambusa
4.Maandazi
5.Mchuzi wa nyama ya ng'ombe
6.Mchuzi wa kuku
7.Mkate wa kumimina
8.Ulimi wa ng'ombe wa kuchemsha
9. Firigisi
10.Ugali
11.???

Mpaka sasa kuna washiriki 33 ( wakubwa na watoto).

UFUNGUO: Tunaomba mzingatie muda, tunaanza saa sita kamili za mchana hadi saa kumi.

Details

Start
Oct 07, 2017 12:00
End
Oct 07, 2017 16:00
Event Category

Organizer

Contact Person
KATIBU
Phone
61283381

Venue

Address
Enghavevej 82D
All Events
Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close