MEMORIAL YA MZEE FAITH JUMAPILI 11-12-16
Ndugu waTanzania,
Kesho Jumapili tarehe 11 December , Saa 6 na nusu mchana(12:30) kutafanyika Memorial ya Mzee wetu Faith.
Mahala ni Vor Frelsers Kirke. Christianshavn, Sankt Annæ Gade 29.
Karibuni wote.
Close
Close
Close