Eid Mubarak 2014

Eid Mubarak 2014

Eid Mubarak 2014

TANDEN wish all Tanzanians and their friends in Denmark Eid Mubarak.
TANDEN would also like to reminded all it's members and non members,that there would be a general meeting on 30-08-2014.
Place and time would be confirmed soon.Everybody is welcome.

TANDEN inapenda kuwatakia heri ya Eid kwa wa Tanzania wote na marafiki zao waishio Denmark.
TANDEN pia inapenda kuwakumbusha wanachama wake na watu wote juu ya mkutano mkuu wa Tanden,utakao fanyika siku Jumamosi ya 30-08-2014. Muda na mahala mtataarifiwa. Nyote mnakaribishwa.

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close