Events

Warning: Trying to access array offset on value of type bool in /customers/c/7/7/watanzania.dk/httpd.www/wp-content/themes/diplomat/helper/helper.php on line 256
21Feb

MKUTANO WA TATHIMINI / FEEDBACK MEETING 21-02-16

Swahili version below:

Dear all

I would like to take this opportunity to invite you all to TANDEN feedback meeting.

The feedback meeting is for previously independence celebration party that was hold in Vanløse.

The meeting will take place on Sunday 21-02-16, time 13hrs place CAFÉ FLORA  VESTERBROGADE 16,1620 KØBENHAVN K

 YOUR PARTICIPATION IS VITAL TO TANDEN, TOGETHER WE CAN MAKE A STRONG ASSOCIATION

Note: You are more than welcome to send us your feedback via our emails mwenyekiti@watanzania.dk or katibu@watanzania.dk

Best regards

Vice chairman

 

 

Swahili version:

Habari wote

Napenda kuwataarifu wote kuwa, kutakuwa na kikao cha tathmini ya sherehe ya TANDEN ya uhuru iliyopita.

Kikao kitafanyika siku ya jumapili tarehe 21-02-16, muda SAA SABA kamili , mahali CAFÉ FLORA  anuani  VESTERBROGADE 16,1620 KØBENHAVN K

 USHIRIKI WAKO NI MUHIMU.TUPO KATIKA KUJENGA CHAMA, KUIMARISHA CHAMA NA KUKIFANYA KIWE IMARA.

Dokezo: Waweza tuma maoni yako, kwa kupitia barua pepe mwenyekiti@watanzania.dk au katibu@watanzania.dk

Kama kuna mtu ana madai na chama , tafadhari njoo na stakabadhi yako ili uweze kurejeshewa pesa yako.

Wenu

Katibu

Details

Start
Feb 21, 2016 13:00
End
Feb 21, 2016 15:00

Organizer

Contact Person
Mwenyekiti
Phone
28106145

Venue

Address
vesterbrogade 16
All Events

Leave a Reply

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close