Maoni / Feedback kuhusu sherehe yetu ya miaka 54 uhuru iliyofanyika Vanløse

Maoni / Feedback kuhusu sherehe yetu ya miaka 54 uhuru iliyofanyika Vanløse

Maoni / Feedback kuhusu sherehe yetu ya miaka 54 uhuru iliyofanyika Vanløse

English version below:

Ndugu wanachamawa TANDEN na marafiki zetu. tunashukuru tumweweza maliza sherehe yetu vizuri jumamosi iliyopita 12-12-2015.
Katika kuboresha,kujenga na kuimarisha sherehe zijazo za TANDEN, tulikua tunaomba maoni yenu kuhusu sherehe ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania na pia kwa sherehe zizajo za TANDEN.

Tafadhari tutumie maoni yako kwa kupitia barua pepe mwenyekiti@watanzania.dk au katibu@watanzania.dk

Maoni yenye tija siku zote hujenga,kuleta maendeleo na mshikamano ndani ya chama na sehemu nyingine.

"UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI DHAIFU"

English version:

Dear TANDEN members and friends. TANDEN would like to thanks all of you who made our event success on last Saturday 12-12-2015.
We would like to hear from you what we can do better, improve and make it even more interesting future events of TANDEN.

Please drop us an email through mwenyekti@watanzania.dk or katibu@watanzania.dk with regards what we can do better and improve our last event and future events which are being organised by TANDEN. We would really appreciate your contributions.

We are always welcome your opinion and contributions which will always strength our association and unite us.

"TOGETHER WE CAN"

DM_WatanzaniaDK

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close