Tushirikiane kwa pamoja kuandaa sherehe ya uhuru wa Tanzania

Tushirikiane kwa pamoja kuandaa sherehe ya uhuru wa Tanzania

Tushirikiane kwa pamoja kuandaa sherehe ya uhuru wa Tanzania

English version below:
MIAKA 54 YA UHURU WA TANZANIA
Maandalizi ya sherehe ya miaka 54 ya uhuru wa Tanzania hapa Denmark 12-12-2015 yanakaribia kuanza. Ewe rafiki,mwanachama,mTanzania na jamaa wa TANDEN, chukua fursa hii kwa kufanya siku hii maalumu iwe yako pia.

Tanden ingependa kupata mawazo yako ya nini kifanyike siku hiyo na pia utawezaje kusaidia kwa hali na mali kufanikisha siku hiyo.
Tafadhari tuletee mchango wako wa mawazo na jinsi utakavyoweza fanikisha siku hii kwa kupitia barua pepe mwenyekiti@watanzania.dk , katibu@watanzania.dk au piga simu namba 28106145.

Kufanikisha kwa sherehe hii ni jambo letu sote, njoo tuonyeshe uTanzania wako,njoo utuonyeshe unaujuaje tamaduni za kiTanzania. Umoja ni nguvu

English version:
54 YEARS OF TANZANIA INDEPENDENCE
Tanden will be celebrating Tanzania 54 years of independence here in Denmark 12-12-2015 and preparations are underway, as friends of Tanden, members of Tanden and Tanzanians living in Denmark, we would like to make this day a very special event and we want you to be part of it.

Tanden would like to hear from you, how would you like to help, participating, give suggestions to make this day special. For suggestions on how you would like to help, ideas e.t.c don’t hesitate to contact us at mwenyekiti@watanzania.dk katibu@watanzania.dk or call tlf 28106145

What would you like to see happening at the event? Come and show us what you know about Tanzania! Come and show us Tanzanian culture. Together we can make it karibuni.

DM_WatanzaniaDK

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close