Warning: Trying to access array offset on value of type bool in /customers/c/7/7/watanzania.dk/httpd.www/wp-content/themes/diplomat/helper/helper.php on line 256

Ubalozi utakuwepo siku ya Jumamosi 12-12-2015 kushughulikia masuala ya pasi

Ubalozi utakuwepo siku ya Jumamosi 12-12-2015 kushughulikia masuala ya pasi

Wanao hitaji pasi mahitaji ni kama yafuatayo:

1.Passport size 5 zany urefu wa 4.5cm na upana 4cm. Nyuma yake (background) ya maji ya bahari(sky-blue)

2.Passport ya Tanzania pamoja na nakala 5 za mwanzo za ukurasa wa mwisho

3. Mwombaji wa mara ya kwanza, cheti halisi cha kuzaliwa na kiambatanishwe.

4.Ada Swedesh kroner 600.

Zoezi la kujaza fomu litafanyika "Wakeup Hotel" 12-12-2015 ( karibu na central station) Kuanzia 10hrs. Zoezi litafanyika pia kwenye ukumbi wa sherehe Vanløse kultursationen. Hivyo kama mtu hutaweza kwenda hotelini utapata huduma hii ukumbini.

DM_WatanzaniaDK

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close