Warning: Trying to access array offset on value of type bool in /customers/c/7/7/watanzania.dk/httpd.www/wp-content/themes/diplomat/helper/helper.php on line 256

USEMI WA LEO

USEMI WA LEO

Katika jitihada za kuwezesha waTanzania na marafiki zao katika kujua lugha ya Kiswahili, tumeanza kufanya jitihada ya kuweka misemo, methali katika tovuti yetu.Hii itaweza kutoa fursa ya kuwakumbusha watu walio sahau methali na misemo na kwa upande mwengine itatoa nafasi kwa  watu wanataka kujua lugha ya Kiswahili watajifunza pia.

USEMI WA LEO:

"

Avumaye baharini papa kumbe wengi wapo."

SAYINGS OF TODAY:

"Shark is the famous one in the sea but there many others"

 

 

DM_WatanzaniaDK

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close