Summer na mpira wa miguu 2018 Fælledparken

Summer na mpira wa miguu 2018 Fælledparken

Summer na mpira wa miguu 2018 Fælledparken

Msimu mpya wa majira ya joto na mpira 2018 ulifunguliwa Jumamosi 19-05-18.

Timu ya yetu ya Tanden Fc ilifungua pazia kwaajili ya kujichua,kutoa vitambi,kupata nafasi ya kujuana na watu mbalimbali waliofika kwenye viwanja vya mazoezi vya Fælledparken. Ilikua ni siku nzuri kwani ili jumuisha rika zote watu wapendao kucheza mpira ( watoto, vijana, wanawake na watu wanaume).

Pazia hili litakua la mwendelezo wa kufanya mazoezi kwa siku za jumamosi pale hali inaporuhusu ( hali ya hewa tukimaanisha jua). Muda wa kucheza mpira utakua saa 12:30 saa sita na nusu za mchana na kama kutatokea mabadiliko yoyote basi taarifa zitatumwa mapema.

IMG_7357

 

Watu watakua wanakutana uwanajani Fælledparken karibia kabisa na hospital ya Rigshospitalet na kama kabisa utashindwa kujua watu (wachezaji wapo wapi) basi itabidi uanze kuangalia watu walio vaa jezi za rangi ya blue ( Jezi za timu ya taifa ya Tanzania au zanzibar :-))

Tukutane tena siku ya Jumamosi ijayo uwanjani 26-05-18 muda saa sita na nusu (12:30)

IMG_7369

 

Kwa habari za moja kwa moja kwa mambo yatakayokua yanajiri siku za mpira usikose kutembelea social media zetu za Tanden

1. https://www.facebook.com/TanzaniaDenmarkAssociationTanden/

2. https://www.instagram.com/watanzaniadk/

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close