KUBADILISHA PASI

KUBADILISHA PASI

KUBADILISHA PASI

TAARIFA
Ubalozi umepata mwongozo kutoka Uhamiaji. Hivyo, zoezi la ku-renew passport litafanyika Siku ya Ijumaa 09/02/2018, København
Muda: 11:00 - 14:00
Mahala . Vodroffsvej 22
1900 Frederiksberg C
Vitu vya kuzingatia

1. copy ya passport, copy ya permit, risiti ya malipo na passport size tano ziwe zenye back ground ya blue

2. Kufanya malipo fungua website ya Tanzania embassy Stockholm alafu click passports utaona account ya embassy fanya malipo na uprint risiti. Ukishindwa kulipa nenda benk ulipe na wakupe risit

3. Katika kujaza form Kuna sehemu ambayo watu huwa hawana details za kutosha mfano mahali alipozaliwa baba na mama wilaya na mkoa pia mwaka aliozaliwa wazazi wako. Hizi information wajitahidi kuwa nazo.

101_001101_001101_001

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close