Karen Mukupa anajivunia lugha ya kiswahili sisi je?

Karen Mukupa anajivunia lugha ya kiswahili sisi je?

Karen Mukupa anajivunia lugha ya kiswahili sisi je?

Licha ya kwamba KAREN MUKUPA hajazaliwa Tanzania na pia yeye ni nusu mDenish na nusu mZambia lakini amekulia Tanzania. Anajivunia lugha ya kiswahili kwani ndio iliyo mkuza, ndio iliyo mfanya ajue maisha ya ujana n.k

Na sisi waTanzania tulio ugenini tujivunie lugha yetu na tuwafunze na kuwapeleka watoto wetu shuleni kwaajili ya kujifunza kiswahili.

Karen kwa sasa anaishi hapa Denmark na ameshirkiana na wanamuziki mashuhuri mbalimbali akiwemo mwana bongo flava Juma nature na wengine wengi toka Tanzania.

Fuatilia zaidi alichoongelea kuhusu maisha yake , muziki pamoja na lugha ya kiswahili.

bofya hapa kwa kusjua zaidi.

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close