MKUTANO MKUU WA TANDEN JUMAMOSI 12-11-2016

MKUTANO MKUU WA TANDEN JUMAMOSI 12-11-2016

MKUTANO MKUU WA TANDEN JUMAMOSI 12-11-2016

English version below:

MKUTANO MKUU WA TANDEN

UNAO UWEZO WA KUBADILISHA MUELEKEO WA TANDEN

Ukiwa kama mwanachama wa Tanden, ama rafiki,ndugu,jamaa au unaipenda Tanden kutokana na mapenzi na nchi ya Tanzania na waTanzania waliopo hapa.

Usikose nafasi hii ya pekee ambayo hutoke mara moja kwa mwaka. Mkutano mkuu wa Tanden, Mkutano utafanyika Jumamosi 12-11-2016, Kulturstationen Vanløse,Frode Jakobsens Plads 4, 1. muda saa sita za mchana(12hrs-16hrs).

Unakaribishwa kuja kwenye mkutano mkuu wa TANDEN.

Kuna kitu unataka kibadilike kwenye sherehe za Tanden? Je unataka muziki wa aina gani uwe unachezwa kwenye sherehe za Tanden? Je unataka Tanden ifanye miradi ya aina gani kusaidia Tanzania na waTanzania waishio hapa?Je unataka vyakula vya aina gani viwe vinapikwa kwenye sherehe za Tanden? Je Unataka kuwa kiongozi ndani ya Tanden? Je unataka kuisaidia Tanden kimawazo,kifedha ama kitu chochote? Je unataka Tanden ifanyaje ili iweze kupata wanachama wapya?

Nafasi hii,uwezo huu ni wako yote haya yawezekana katika mkutano mkuu wa Tanden.

Toa maoni yako kwa kupitia katibu@watanzania.dk

Tanden itagharamia chakula cha mchana kwa watakao hudhuria kikao.

AGENDA ZA MKUTANO MKUU:

1.Kufungua mkutano

2.Taarifa kutoka kamati za Tanden.

3.Maendeleo ya miradi ya Tanden.

 

MENGINEYO:

4.Agenda nyingine zitaongezwa siku hiyo ya mkutano.Kwa wale wenye agenda zao wanakaribishwa kuzifikisha siku hiyo.

 

English version:

TANDEN ANNUAL MEETING

YOU STILL HAVE A CHANCE TO MAKE DIFFERENCE ON HOW TANDEN IS FUNCTIONING

As a members of Tanden or just curious to know about Tanden, you like Tanzania as country but you don’t know how to get involved.

On the 12-11-2016 at Kulturstationen Vanløse,Frode Jakobsens Plads 4, 1.

at 12hrs Tanden is going to hold a general meeting, and you are invited to this meeting.

Is there something you would like to see happening in Tanden? What kind of music would you like to be played during Tanden’s event? What kind of projects would you like to see Tanden get involved with here in Denmark or Tanzania? What kind of food would you like to eat on Tanden’s event? How would you help Tanden get new members? How would you like to support Tanden?

For those who can’t make it to the meeting you can post your views, thought, questions and thanks through katibu@watanzania.dk

Tanden would provide lunch during the meeting.

AGENDA FOR THE TANDEN ANNUAL MEETING

1.Opening session

2.Reports from Tanden committee

3.Progress of Tanden projects?*

 

OTHERS:

4.Other agendas will be added in the meeting

IMG_0150

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close