Warning: Trying to access array offset on value of type bool in /customers/c/7/7/watanzania.dk/httpd.www/wp-content/themes/diplomat/helper/helper.php on line 256

Nafasi ya kuomba pasi mpya za kiTanzania Jumamosi 26-09-2015

Nafasi ya kuomba pasi mpya za kiTanzania Jumamosi 26-09-2015

Kwa watu wote wenye matatizo ya kushughulikiwa pasi zao, Muheshimiwa Balozi Dora Mmmari Msechu na ujumbe wake utakua Denmark katika mji wa Odense siku ya jumamosi 26-09-2015, Anuani ni  Klintebjergvej 105 ,5450 Otterup.

Shughuli za pasi zitaanza muda wa saa tisa alasiri 9 ( 15hrs).

Tafadhari tembelea tovuti ya ubalozi tovuti ya ubalozi .

ili uweze kuona masharti na vipengele vyote unavyotakiwa kufanya kabla ya kufika siku hiyo.

101_001

DM_WatanzaniaDK

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close