Warning: Trying to access array offset on value of type bool in /customers/c/7/7/watanzania.dk/httpd.www/wp-content/themes/diplomat/helper/helper.php on line 256

Sherehe za miaka 10 ya chama cha waTanzania Fyn 26-09-2015

Sherehe za miaka 10 ya chama cha waTanzania Fyn 26-09-2015

Ndugu watanzania
Kwa furaha kubwa ,umoja wa watanzania fyn umeweza kumwalika muheshimiwa balozi wetu
Kuja kutembelea mji wa Odense  na kuwa mgeni rasmi katika kuadhimisha miaka kumi ya umoja huu wa watanzania fyn .
Hivyo wote mnakaribishwa kusalimiana na mama balozi pamoja na ujumbe wake na wakati huo huo kujumuika nasi ktk sherehe yetu ya  mika 10 ya chama chetu.
Siku ya jumamosi tarehe 26/09/015
Saa 12.00 jioni( 18.00)
Anuani ni,  Klintebjergvej 105
5450 Otterup
kwa wote wanaoweza kuja tungeomba mtujulisha kupitia simu hizi
Abdallah kimaro - 24 80 06 15
Faith Ramolle- 31 76 64 00
Halima Søgaard- 24 46 89 95

DM_WatanzaniaDK

Leave a Reply

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close