TANDEN FAMILY DAY JUMAMOSI 07-10-2017

TANDEN FAMILY DAY JUMAMOSI 07-10-2017

TANDEN FAMILY DAY JUMAMOSI 07-10-2017

Swahili version below:
Tanzania Denmark Association ( TANDEN) will have a getting together with their family and friends on Saturday 07-10-2017 from 12hrs-16hrs. It is the day were TANDEN celebrate unity and integration "Umoja ni Nguvu" fun, activities for both kids and parents, eating food together and have a chance to socialize will be the theme of the day. #watanzaniadk #chamachawatanzaniadenmark#watanzaniaDenmark #umojaninguvu

The event will take place at GAME, Enghavevej 82 D,
DK – 2450 Copenhagen SV.
All you have to do is just register through katibu@watanzania.dk or SMS to 61283381 and tell us what kind of food would you like to bring and how many people you will bring with you.

SWAHILI VERSION BELOW:
TIMETABLE FOR OUR EVENT: SATURDAY 07-10-2017
12:00 -ARRIVAL OF GUESTS
12:30 -13:30 LANCH
13:35 -13:40 TANDEN INTRO (VISION,MISSION)
14:00 -16:00 ACTIVITIES ( ALL GUEST WILL PARTICIPATE)
 
**IF YOU HAVE ANY IDEAS ABOUT GAMES FOR FAMILY E.T.C PLEASE DONT HESITATE TO SHARE WITH US AT THE EVENT
 
**PLEASE BE ON TIME

18301982_1797264973624519_628274328085144069_nIMG_8086fm6

Swahili version:
Tanden inapenda kukukaribisha kwenye siku ya wana Tanden, familia na marafiki kujumuika kwa pamoja siku ya Jumamosi 07-10-2017 kuanzia saa sita kamili hadi kumi kamili za jioni( 12hrs-16hrs). Ni siku ambayo itajumuisha michezo mbalimbali kwa wazazi na watoto wao na rika nyingine.

Siku hii maalumu itafanyika GAME, Enghavevej 82 D, DK – 2450 Copenhagen SV.
Unachotakiwa kufanya ni kujiandikisha jina lako kwa kupitia katibu@watanzania.dk au ujumbe mfupi kwa 61283381 na kusema Chakula gani utakuja nacho na watu wangapi utakuja nao. Kinachobakia ni kua na furaha, njoo tuage majira ya joto kwa pamoja na familia,marafiki zetu.

 
RATIBA YA SHEREHE YETU: JUMAOSI 07-10-2017
12:00 -WAGENI KUFIKA UKUMBINI
12:30 -13:30 CHAKULA CHA MCHANA
13:35 -13:40 MAELEZO KUHUSU TANDEN( MADHUMUNI)
14:00 - MICHEZO KWA WOTE
 
**KAMA UNA JUA AINA YA MICHEZO YOYOTE AMBAYO ITAWEZA WAFURAHISHA WAGENI,TAFADHARI NJOO UTUONYESHE
 
**TAFADHARI TUNAOMBA UENDE NA WAKATI

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close