Mtanzania apata medali ya shaba katika mchezo wa kutupa mkuki: mTanzania Shururwai Laanyuni amepata ushindi wa kutupa mkuki kwa wanaume miaka 60 - 64 kwenye mashindano ya Ulaya mzima katika mji wa Aarhus. #watanzania ...
![mTanzania apata medali ya shaba Aarhus](https://usercontent.one/wp/www.watanzania.dk/wp-content/uploads/2017/08/IMG_5931-745x450.jpg)