TANDEN YATOA MSAADA TANZANIA

TANDEN YATOA MSAADA TANZANIA

TANDEN YATOA MSAADA TANZANIA

"Jumuiya ya Watanzania Waishio nchini Denmark imetoa msaada wa nguo kwenya kituo cha kulelea wazee wasiojiweza cha Kolandoto na kituo cha kulelea watoto wenye ualbino cha Buhangija katika manispaa ya Shinyanga.
Akizungumza jana wakati wa kukabidhi msaada huo wa nguo,Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Waishio nchini Denmark Tambwe Tumba alisema ni jambo jema kusaidia watu wenye mahitaji kutokana na kile kidogo walichojaliwa".
UF3A3239
UF3A3255
UF3A2559

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close