Tanzania na Gladsaxe kultur 2017

Tanzania na Gladsaxe kultur 2017

Tanzania na Gladsaxe kultur 2017

Tarehe 03-06-2017 Tanden iliwakilsha Tanzania katika maonyesho ya nchi mbalimbali kutoka Afrika "African village" ndani ya halmashauri ya Gladsaxe. Tanzania ilishika nafasi ya pili.

Nchi mbalimbali toka Afrika ziliwakilisha utamaduni wao katika tamasha la Gladsaxe kultur 2017. Tanzania ikiwa inashiriki kwa mara ya kwanza, iliweza kushika nafasi ya pili katika kwa jinsi ilivyoweza wakilisha vizuri ( utamaduni na historia toka Tanzania, Vyakula chapati,sambusa, mchuzi na nyama ya kuku, utamaduni wa kimasai na muziki kwa kiswahili ilikua baadhi ya vitu vilivyooneshwa kutoka Tanzania.)

kuona picha za matukio mbalimbali bofya hapa, ukitaka kuangalia video clip ya kujipongeza kwa ushindi bonyeza hapa.

Tanden imetoa ahadi ya kwamba mwaka ujao 2018 itashiriki kikamilifu, kutakua na muda wa kutosha katika kuitangaza Tanzania na ina ahidi kuchukua nafasi ya kwanza kwenye nyanda zote ( utamaduni na biashara). Tanden inawapongeza wale wote walioweza kufanikisha zoezi zima la kuwepo kwenye Gladsaxe kultur "African village".

149660346293010300_resized

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close