TUNAOMBA KURA ZENU ILI TUWEZE KUSHINDA

TUNAOMBA KURA ZENU ILI TUWEZE KUSHINDA

TUNAOMBA KURA ZENU ILI TUWEZE KUSHINDA

TANDEN wameingia kwenye shindano, ewe mwanachama, ndugu,jamaa na marafiki tunaomba kura zenu ili tuweze kushinda na kuendeleza kuleta mshikamano na kusambaza utamaduni wa kiTanzania hapa Denmark kwa kupitia chakula. Chakula hiki kitapikwa na waTanzania na siku utakapo kuja kukionja utajisikia upo nyumbani.

BOFYA HAPA kuingia kwenye tovuti ya shindano.

swahili kitchen

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close