Yaliojiri kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 10 ya TANDEN

Yaliojiri kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 10 ya TANDEN

Yaliojiri kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 10 ya TANDEN

Swahili version below:

TANDEN 10 year Anniversary.
Tanden will like to say thank you to all TANDEN members and their friends who attended the meeting yesterday (06-05-2017).
The meeting was great and we got lots of good feedback.
The main focus from the meeting was:

1. Put more focus on health,education and agriculture issues towards Tanzania
2. Intergration
3. Tanzania should be more represented in Denmark
4. Tanden members fee.

18268546_1797264756957874_4562653794064318737_n18275184_1797264723624544_6789990591690194750_n18403111_1797264730291210_6519833353346285196_n18301310_1797264886957861_7529154904365161489_n18301982_1797264973624519_628274328085144069_n

 

Swahili version:

Miaka 10 tangu TANDEN kuanzishwa:
Tanden inapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanachama na marafiki zao wote walioweza kufika kwenye mkutano.

Mkutano ulikua na mijadala mizuri yenye tija. Tumepata maoni mengi kuhusu uendeshwaji wa chama na pongezi pia.

Ajenda muhimu zilizokuwepo na ambazo ndizo zitaiendesha Tanden kwa miaka 10 mingine ni
1. Kuwekeza nguvu kwenye sekta ya afya,elimu na kilimo
2. Intergration
3. Kupeperusha vizuri bendera ya Tanzania hapa Denmark
4. Malipo ya ada za wanachama kwaajili ya kuendesha chama.

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close