In celebrating Tanzania Independence day TANDEN is pleased to announce this year 57th TANZANIA INDEPENDENCE DAY CELEBRATIONS will take place Saturday 01.12.2018 at Kulturstationen Vanløse
This day will showcase culture, hospitality, talents, and nature of Tanzanians. This year the cele ...
Timu ya Tanden FC yawakongwe na vijana watakutana Jumamosi 02-06-2018, saa sita na nusu za mchana katika viwanja vya Fælledparken katika kufanya mazoezi. Kwa wale watakao pata muda wa kuja kujumuika kwa vijana na wazee mnakaribishwa.
Twajua sote ya kwamba michezo ( mpira wa miguu) ni nj ...
Msimu mpya wa majira ya joto na mpira 2018 ulifunguliwa Jumamosi 19-05-18.
Timu ya yetu ya Tanden Fc ilifungua pazia kwaajili ya kujichua,kutoa vitambi,kupata nafasi ya kujuana na watu mbalimbali waliofika kwenye viwanja vya mazoezi vya Fælledparken. Ilikua ni siku nzuri kwani ili jumu ...
Siku mbili mfululizo (Jumamosi na Jumapili) Tanden iliwakilisha Tanzania katika maonyesho ya Afrika messen 2018, ambayo yalifanyika katika manispaa ya Gladsaxe.
Maonyesho hayo ambayo lengo lake kubwa ni kuonyesha picha halisi ya Afrika kwa hapa Denmark katika nyanja mbalimbali (Biashara ...