HERI YA CHRISTIMAS NA MWAKA MPYA 2018

HERI YA CHRISTIMAS NA MWAKA MPYA 2018

HERI YA CHRISTIMAS NA MWAKA MPYA 2018

Uongozi wa Tanden na wanachama wake wote unapenda kuchukua nafasi hii ya kipekee, kuwatakia heri ya Christimas na Mwaka mpya 2018 wenye fanaka tele.?????????

“Umoja ni nguvu” tushikamane katika kukijenga chama chetu. Mwaka 2018 uanze kwa kuweza kupata wanachama wapya, wanachama washiriki kwenye vikao, wanachama walipe ada zao za mwaka, wanachama wajitolee ili tuweze fanikisha malengo yetu ya chama.

Akaunti ya Tanden ni: Danske Bank Reg No: 4120,Account Number: 4120026739

Ada ya mwanachama ni 150kr kwa mwaka.

25659320_2194180457266300_1584628176856941746_n

 

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close