RIPOTI YA TANDEN KUELEZEA MALENGO NA SHUGHULI 2009-2014

RIPOTI YA TANDEN KUELEZEA MALENGO NA SHUGHULI  2009-2014

RIPOTI YA TANDEN KUELEZEA MALENGO NA SHUGHULI 2009-2014

JE WAJUA ADA YAKO YA UWANACHAMA INAFANYA KITU GANI?

TANDEN ilianzishwa mwaka 2007 hapa Copenhagen nia na madhumuni ilikua ni kuwaunganisha waTanzania waishio hapa na pia kuyapa kipaumbe mambo muhimu ya nchi yetu ya Tanzania.

Ili mambo hayo yaweze kufanikiwa, ukiwa ndani ya chama kama mwanachama hai unahitajika kutoa ada ya kila mwaka 100kr tu iwe katika mfuko wa chama.

Bofya kwenye link hiyo Malengo na shughuli za TANDEN 2009-2014 ili uweze kuona ada yako wewe mwanachama inafanyiwa nini na TANDEN.

KWA NAFASI HII PIA TUNAPENDA KUWAKUMBUSHA WANACHAMA WOTE WA TANDEN AMBAO HAWAJALIPA ADA ZA UANACHAMA, WAFANYE HIMA KULIPA ADA ZAO.

Reg No: 4120,Account Number: 4120026739 Bank: Danske Bank

jiko1

msaada

msaada2

 

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

The Copenhagen Revival Conference

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close