DULLA MNANGA NA MAANA HALISI YA MUZIKI LIVE

DULLA MNANGA NA MAANA HALISI YA MUZIKI LIVE

DULLA MNANGA NA MAANA HALISI YA MUZIKI LIVE

Dulla Mnanga mmoja ya wanamuziki walio unda kundi la muziki la Tatu Nane, ambalo lilitikisa ulaya na Tanzania. atakua na show na bendi yake 27.05.2016 katika ukumbi wa Vanløse culturhuset.

Njoo upate midundo ya Afro funky, nyuzi za gitaa zinavyo charazwa, ngoma na marimba zitakavyo rindima.

Kiingilio ni 60kr kwa wakubwa na wanafunzi ni 40kr. Show itaanza saa mbili na nusu( 20:30-00:00)

Njoo ujionee maana halisi ya muziki kupigwa LIVE.

Dulla

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close