SIKU YA TANDEN FAMILY DAY IMEHAIRISHWA

SIKU YA TANDEN FAMILY DAY IMEHAIRISHWA

SIKU YA TANDEN FAMILY DAY IMEHAIRISHWA

Swahili version below:

Tanden regret to inform it’s members and friends that the Tanden family day that was suppose to be taken place on Saturday 18-06-2016 have been postponed.

Tanden apologize for this inconvenience and we will let you know when Tanden family day will take place.

"Umoja ni Nguvu"

Swahili version:

Tanden inapenda kuwatangazia wanachama wake wote na marafiki zao kwamba ile siku ya kukutana pamoja na kula chakula kwa pamoja, ambayo ilikua ifanyikie siku ya Jumamosi 18-06-2016 imeharishwa.

Uongozi wa Tanden unaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza na utakao jitokeza kutokana na kuahirishwa kwa siku hii maalum.

Tarehe na siku kwaajili ya kufanyika kwa TANDEN FAMILY DAY itatolewa tena hapo baadae.

 

"Umoja ni Nguvu"

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

The Copenhagen Revival Conference

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close