Warning: Trying to access array offset on value of type bool in /customers/c/7/7/watanzania.dk/httpd.www/wp-content/themes/diplomat/helper/helper.php on line 256

DARASA LA KISWAHILI KWA WATOTO 2016/2017

DARASA LA KISWAHILI KWA WATOTO 2016/2017

Wazazi,wanachama na jamii yetu yote ya kiTanzania iliyopo Denmark.
København Kommune wanatoa huduma ya lugha ya mama (modersmål) ambayo kwetu sisi itakua Kiswahili . Kommune inaweza kulipia gharama zote kama idadi ya watoto itafika 12 na zaidi

http://www.kk.dk/modersmaal

Hili ni nafasi nzuri kwa watoto kujifunza kiswahili ili kurahisisha mawasiliano na ndugu zao huko Tanzania na hata hapa kwa wale wasio jua lugha ya kiDenish.

Ewe mzazi, mwandikishe mwanao ili watoto wafike 12 au zaidi ili tuwasiliane na Kommune tayari kwa kuanzisha darasa. Nafasi hii ni kwa wote bila kujali kama unaishi ndani ya Københavns Kommune au la.

Ukiingia kwenye tovuti
http://www.kk.dk/modersmaal inamaelezo rahisi kwa lugha ya kidenish na kingereza. Tuwatumie email ya kuomba kuwaandikisha watoto wetu ili baada ya likizo za summer darasa liwe lishapatikana.

swahili 1

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close