Warning: Trying to access array offset on value of type bool in /customers/c/7/7/watanzania.dk/httpd.www/wp-content/themes/diplomat/helper/helper.php on line 256

DIASPORA NA SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI

DIASPORA NA SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI

Kheri ya mwaka mpya wana TANDEN na waTanzania kwa ujumla.
Kutakua na mkutano maalumu wa kuzungumzia mambo ya DIASPORA na SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI. Mkutano utafanyika JUMAMOSI 04-02-17. Mida saa sita za mchana(12hrs).Mahala Kulturstationen Vanløse Frode Jakobsens plads 4, 1. sal.

Karibuni nyote tuzungumze na kujadiliana,kama hautoweza pata nafasi ya kuhudhuria tungependa kusikia maoni kutoka kwako kwa kupitia barua pepe mwenyekiti@watanzania.dk

Tungependa kusikia

  1. Una maoni gani kuhusu diaspora
  2. Nini kifanyike?
  3. Ushiriki wa waTanzania walio ughaibuni ambao pasi zao bado ni za kiTanzania, wanasaidiaje kwa hili?
  4. ??????

 

*************Tanden itagharamia chakula kwa washiriki.********************
TAFADHARI CONFIRM USHIRIKI WAKO KWA KUPITIA BARUA PEPE TAJWA HAPO JUU, MWISHO WA KUKONFIRM NI 01-02-17. SAA KUMI KAMILI ZA JIONI.

0000640px-denmark_flag

15994824_10154939085593829_7945082020749139730_o

 

 

 

 

 

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close