Transforming idea into impact from Amager to Kwediamba

Transforming idea into impact from Amager to Kwediamba

Transforming idea into impact from Amager to Kwediamba

Donald ni mwanafunzi anaye soma kidato cha pili Tanzania. Ameweza kujitengenezea mwenyewe kata upepo inayotoa nishati ya umeme.

Donald na washiriki wenzake 100, kutoka katika kijiji cha kwediyamba,Handeni Tanga wamewezeshwa kimaarifa na kiufundi kutoka NGO ya jengo. Kwa kipindi cha muda wa wiki mbili washiriki 130,walikua wanapewa uwezo huo.

Donald kwa sasa anaweza jisomea usiku, kusikiliza habari na kujionea matukio mbalimbali kwenye runinga kwa kutumia kata upepo aliyotengeneza mwenyewe. 

"PENYE NIA PANA NJIA".

Watch video clip about the  windmill

Video ya warsha ya kata upepo

DCIM100MEDIA

DCIM100MEDIA

 

DM_WatanzaniaDK

Related Articles

Walimbwende ndani ya Tanzania independence day Walimbwende ndani ya Tanzania independence day Walimbwende ndani ya Tanzania independence day Walimbwende ndani ya Tanzania independence day Walimbwende ndani ya Tanzania independence day

Walimbwende ndani ya Tanzania independence day

Close
Close

Please enter your username or email address. You will receive a link to create a new password via email.

Close

Close